Siri 4 zakufanikiwa kwenye biashara
1.Fahamu wazo la kibiashara:mara kadhaa wajasiriamali wadogo hushindwa kujenga wazo, ili kupata soko kwa muwekezaji ni vyema kutangaza wazo la kipekee.
2.Usiharakishe:Wajasiriamali hufanya haraka kuwasilisha wazo la biashara.kwanza, wazo lazima lifanyiwa utafiti wa kina na kupanga kabla ya kuwasilisha kwa Mwekezaji.
3.Jiamini: Mwekezaji kutokuwa na imani na wajasiriamali wadogo , sababu inaweza kuwa sababu wajasiriamali hukosa kujiamini, hakuna anayekubali kuwekeza pesa kwa mtu asiye mwamini na asiyejiamini.Uoga ni kikwazo kikubwa cha mafanikio.
4.Jifunze kutokana na makosa: Njia muhimu ya kumtathimini mjasiriamali ni kutazama namna anavyo chukulia kuanguka kwake kibiashara, Wajasiriamali wengi hawajifunzi kutokana na makosa .
Comments
Post a Comment